MOST WANTED SAIDIA KUSHARE Kwayeyote anayemfahamu huyu jamaa atoe taarifa kituo chochote cha polisi kilicho karibu naye au apige simu kwenda namba hii 0758555076. Amefanya tukio la wizi na utapeli jijini Dodoma siku ya tar 19th / 20th April 2019 majira ya saa 17:20 jioni zawadi nzuri Tsh 300,000/= itatolewa kwayeyote atakayetoa taarifa za kupatikana kwa huyu bwana M/Mungu akubariki!
HUYU NI TAPELI KUWENI MAKINI ANATAPELI SEHEMU NYINGI NCHINI THEN ANARUDI ANAKOISHI DSM.