Jamani naombeni kujua zaidi kuhusiana na shule ya mosh tech kwa wale wanayoifahamu

Great Cbn

Senior Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
165
Reaction score
43
Wanajf nimechaguliwa mosh tech pcb naomba kujua iyo shule mazingira yake ni mazur kwa iyo comb na kuna wenzangu kama watano ivi wamechaguliwa uko , hivyo naomba kujua mwenye kujua, na ni kweli iyo shule ni mixture? ni hayo tu wakuu naitaj kujua ili nijipange zaidi
 
Mixture ni o level ila advance ni boys ingawa wote wapo bording
 

upo mkoa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…