Jamani naombeni mbinu za kumtania mtu wangu,yaani siwezi utani kabisa,niko serious 2.

FADHILIEJ

Senior Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
132
Reaction score
18
Wadau ninashukuru kwa michango yenu yote.....,kila aliyechangia nimemuelewa,

Pili nasikitika sana sikuwa hewani kwa muda kutokana na masuala ya kikazi hivyo sijaweza kuwajibu kwa wakati walioniuliza maswali kadhaa ambayo ni ya msingi sana.

Mawazo na michango yote mliyonipatia ninaifanyia kazi.

 
Mlete kwangu mi ntajitolea kumtania on ur behalf afu we jioni ukija unamkuta na furaha unamchukua au vp buuuuuuure kabisa!
 
Mkuu hapo hujatatua tatizo,yuko very complecated hapa natafuta shule kiukweli
 
mlete kwang nimchekeshe usiku ,mzima asubuhi we unakuja mchukua
 
Duh kacheki bandama kama vipi, au vipi utekenywe eeee mpaka ucheke bana we vipi uwe nautani kidogo sio serious kama mjeshi ndo nini sasa.
 
nawia konyagi, uso unachekesha automatik.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…