Jamani naombeni mnisaidie ki-ushauri na ki-tiba kuh: Via vya uzazi kwa mwanaume

Jamani naombeni mnisaidie ki-ushauri na ki-tiba kuh: Via vya uzazi kwa mwanaume

Gody

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Posts
1,246
Reaction score
413
Habari za jioni wanajavi?
Jamani kwa upande wangu naomba msaada wa kujua,ushauri,tiba nk kuhusu swala la mbegu za kiumeCsperms) naomba kujua namalizaje matatizo yafuatayo:-
1- kama mbegu ni chache nifanyaje ili ziongezeke yaani nitumie nini ili ziongezeke??
2-Pia na kama ni nyepesi nifanye au nile nini ili ziongezeke??

3-Na la mwisho na kama mbegu hazina speed na hapa pia naomba mnisaidie wadau ??

Jamani ila mimi sjui naweza kuwa labda
ningeuliza swali moja lingejb yote lkn naomba nifunguke kirefu kiivo!!!
Wale tiba mbadala nawahitaji sana lkn skufungi wewe hosptali kama kuna dawa unayoiamini you can help!!!
msaada wenu plz!!

NAWASILISHA!!!
 
nenda kafanyiwe maombi kanisani, buree, sisi wenzio tulishawahi sumbuliwa sana na matatizo kama hayo, tukazunguka huko na huko hadi tukachoka, na usomi wetu,.....siku tu tulipopiga goti na kuombiewa na watumishi wa Mungu, kila kitu kilipona na sasaivi tunawatoto ambao tunafanana nao kama photocopy...amini usiamini haya yalishawahi kunikuta mimi na mke wangu tukachelewa sana kupata watoto, lakini Mungu ni mwema, anaponya kila ugonjwa, hakuna linalomshinda.
 
Hilo tatizo lako unaweza ukafikiri ni kubwa sana kumbe hakuna tatizo ambalo halijawahi kutokea. Mm naweza kukusaidia sana kwa kuwa nina product(lishe) ya asili ambayo ni nzuri sana kuondoa matatizo kama hayo. Ni bidhaa nzuri sana yenye vitamin C, D3,K2,B6,B12,Folate, L-Arginine,sugars
Husaidia katika mzunguko mzuri wa damu, ukuaji mzuri wa misuli,ukuaji na urekebishaji mzuri wa mifupa na tishu za mwili.Husaidia kwa kiwango kikubwa ukuaji na ufanisi wa nguvu za kiume.
Husaidia umeng'enyaji mzuri wa mafuta na sukari mwilini na vilevile husaidia katika uzalishaji wa hormoni katika mwili.
Tuwasiliane kwa email healthwealthfirst@gmail.com pia namba 0713889162
 
Back
Top Bottom