Jamani naombeni mnisaidie kuhusu Block Teaching Practice BTP

Jamani naombeni mnisaidie kuhusu Block Teaching Practice BTP

canary-b

New Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Imezoeleka kuwa wanachuo wanaenda mazoezi ya kufundisha mwezi wa pili, lakini sasa hakuna taarifa yoyote hata wakuu wa vyuo hawajui,sijui ndo tuseme pesa zimeenda kwenye bunge la katiba au hazipo kabisa? na mitihani imekaribia muda hautoshi, wadau mna taarifa yoyote kuhusu BTP???
 
Mimi nikuulize labda una taarifa ni lini waalimu wapya wataajiriwa? Btp si hoja sana. Wewe soma kwa bidii mtaenda tu. Hata sisi tulizubaishwa hivyo.
 
Back
Top Bottom