Ingia kwenye website yao. Nakumbuka nlihangaikaga kupata namba ya NIDA, Nikaingia jamii forum kusearch post zinazohusu NIDA nikakuta Kuna wadau wamechangia na kuweka link, hiyo link ilinisaidia nikapata number yangu ya NIDA. Search post hizo nadhani zitakusaidia.
NB, ingia Usiku wa manane kwenye hiyo link ndo inafanya Kazi faster, mchana inazidiwa utaambiwa error occurred kila saa.