Jamani naombeni msaada wa DAWA!

Jamani naombeni msaada wa DAWA!

Eshy m.s

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
2,926
Reaction score
1,560
Habarii!
Naomba mniambie dawa inayoweza kukausha kidonda kwa haraka ni ipi! help me please!
 
jamani wote hamjui au vipii! nisaidienii jamani
 
kidonda cha aina gani ndugu yangu,.
 
kidonda cha aina gani ndugu yangu,.

ni hivi, nilikuw nawashwa sehemu sasa kwa bahati mbaya nikajikuna had kukatokea mchubuko! nikajua kutakauka but naona kumegeuka kidonda! na kinazidi kuwa kikubwa!
 
Embu nenda kapime kisukari ndg. Maana hizo ni dalili zake
 
Embu nenda kapime kisukari ndg. Maana hizo ni dalili zake

mmh! unanitisha ndugu! sio kikubwa sana cha kutisha wangu! nahisi ni kwa sababu ya joto tu coz kipo kwa mgongoni ndo maana nikaoma dawa ya kukausha kwa anaeijua
 
ni hivi, nilikuw nawashwa sehemu sasa kwa bahati mbaya nikajikuna had kukatokea mchubuko! nikajua kutakauka but naona kumegeuka kidonda! na kinazidi kuwa kikubwa!

Kidonda kina muda gani?
 
Back
Top Bottom