combra
Senior Member
- May 28, 2012
- 130
- 31
naomba kwa mtu yeyote anayekijua kile kifungu kinacho onyesha sheria inakuwa into action tu baada ya kuchapishwa au kutangazwa kwenye vyombo vya uma!mana kuna bosi wetu anasema hana habari kuhusu mishahara mpya bado hajapata taarifa toka serikalini.natanguliza shukran zangu.