acha upuuzi wa hasira
hasira ni hulka ya mtu
ni km vile wachaga ni watafutaji hela ndo kusema makabila mengne hayatafut pesa?wamelala tu..
tabia za mtu ni mtu si kabila wala dini.
mama mkubwa wangu ni mhehe na sijaona makasoro kiasi cha kusema wahehe No! cha muhimu ni kwamba tabia sio ishu ya kugeneralize hasa kwa maisha ya kileo. UNAWEZA KUOA MCHAGGA NA AKAWA mvivu kuliko wavivu wenyewe.
acha upuuzi wa hasira
hasira ni hulka ya mtu
ni km vile wachaga ni watafutaji hela ndo kusema makabila mengne hayatafut pesa?wamelala tu..
tabia za mtu ni mtu si kabila wala dini.
jamani penzi langu limeangukia kwa mtt wa kihehe sina wasifu wao mzuri moja nililopewa kuu ni kwamba wana hasira sana sasa nahitaji kujua mengi jamani kuhusu hawa watu naombeni michango yenu najua wapo wengi mmekutana nao mnaishi nao mnafanya nao kazi nk.
binamu hapo kwenye red sijakuelewa umenitusi au?
nikweli nakubaliana na ww kwamba tabia ni hulka ya mtu lakini kuna zile tabia za jumla jumla kama mfano wako uliotoa kwa wachaga ipo mifano mingi tu zaidi ya hiyo kwa wachaga hyo ndio point yangu binamu ila hapo kwenye red nifafanulie binamu
Wewe aliyekwambia hayo nani?? Jumla jumla??
Kama umempenda kaa nae umchunguze acha kutuambia mambo ya makabila yako hapa aahh
Kukimbia tatizo si suluisho ila ni kulihairisha tu. Mi nachojua kila kabila lina wasifu wake na mtu anayejadili si mkabila bali ni mdadisi na ni curious,drp,usiogope kujadili maana kila mtu ana wasifu wake na iyo italeta ukamilifu wa social science. Kwa ujumla wahehe ni watu wenye hekima,na ni waelewa. Pia ni watu wanaojua kutunza mali na wanajali. Pia wana hasira lakin ni controllable. Wasifu wa nje ambao unaujua vizuri ni wafupi! Nakutakia siku njema.