Mkuu kama kuna kitu sikipendi maishani mwangu na sitakaa nikisilize ni kitu wazungu wanaita prejudice au maamuzi mbele, aka fallacy of generalization. Chukulia mtu personally wala ucchukulie kiujumla. hasira, upendo na mengineyo ni masuala binafsi ambayo hayapaswi kuwa attached na kabila fulani. Kama junampenda, mchunguze kama yeye na amua kuendelea au kuterminate mkataba if you may call it that way!
jamani penzi langu limeangukia kwa mtt wa kihehe sina wasifu wao mzuri moja nililopewa kuu ni kwamba wana hasira sana sasa nahitaji kujua mengi jamani kuhusu hawa watu naombeni michango yenu najua wapo wengi mmekutana nao mnaishi nao mnafanya nao kazi nk.
binamu hapo kwenye red sijakuelewa umenitusi au?
nikweli nakubaliana na ww kwamba tabia ni hulka ya mtu lakini kuna zile tabia za jumla jumla kama mfano wako uliotoa kwa wachaga ipo mifano mingi tu zaidi ya hiyo kwa wachaga hyo ndio point yangu binamu ila hapo kwenye red nifafanulie binamu
jamani penzi langu limeangukia kwa mtt wa kihehe sina wasifu wao mzuri moja nililopewa kuu ni kwamba wana hasira sana sasa nahitaji kujua mengi jamani kuhusu hawa watu naombeni michango yenu najua wapo wengi mmekutana nao mnaishi nao mnafanya nao kazi nk.
Mkuu naona leo umeleta viroja. Wewe umempenda yeye au umemchagua kwa sababu ya kabila lake? Kama umemchagua kwa sababu ya kabila basi nakushauri umwache kwa sababu hilo kabila ni watu wabaya sana. Ukita kujua ubaya wao zaidi basi nitakueleza siku nyingine.
Ila kama unahisi una chembe chembe za mapenzi naye....mpe nafasi ili uone kama unamuhitaji kwa dhati na si kwa ajili ya kufany amatambiko!
Uwe mwema sana kwake na usimfanyie vitu ambavyo vitamfanya aghadhibike. Kama itatokea ameghadhibika na ukisikia "Swelaaaah" basi jiandae na matanga
Unataka kuanzisha familia na kabila au mtu? Kama ni mtu binafsi basi msome tabia yake. Ukimfahamu vizuri endelea. Ukiona kasoro alizonazo huwezi kuvumilia achana naye mapema kabla hamjajenga mazoea.
mkuu thanks kwa ushauri napenda uelewe kwamba sipo kikaabila wala nini natafuta kujua tabia za mtu binafsi ambaye ni muhehe kwa kaabila mpaka leo cjaweza kumtofautisha mtu na kabila lake labda nifundishe mkuu na shida yangu zaidi nikujua unachoniambia utanieleza cku ingine mkuu
Kwa mtazamo wangu ni kuwa kama huwezi kutofautisha huyo dada na kabila lake basi huna nia nzuri naye. You jusy have malicious and evil intentions. Kama siyo hivyo kwa nini usiwekeze akili yako kwake binafsi badala yake unaingiza ukoo wote na kabila lote?
Kama kuna kitu nakichukia sana ni kuweka kabila kwenye background wakati wa kufikiria na kuamua mambo!
Natumai umenielewa sasa!
nina nia nzuri nae tena sana ndomana natafuta wanapenda nini wanatabia gani mbona nipo wazi sana ila bado utaki kunielewa mfano watu wanasema wasema wanawake wa kikurya wakipigwa wao ndio kupendwa uko je hili unanitofautishiaje mkuu
We mama la mixed .....sasa mama yako si mchaga? Inakuwaje ma mkubwa awe mhehe?mama mkubwa wangu ni mhehe na sijaona makasoro kiasi cha kusema wahehe No! cha muhimu ni kwamba tabia sio ishu ya kugeneralize hasa kwa maisha ya kileo. UNAWEZA KUOA MCHAGGA NA AKAWA mvivu kuliko wavivu wenyewe.
We mama la mixed .....sasa mama yako si mchaga? Inakuwaje ma mkubwa awe mhehe?
jamani penzi langu limeangukia kwa mtt wa kihehe sina wasifu wao mzuri moja nililopewa kuu ni kwamba wana hasira sana sasa nahitaji kujua mengi jamani kuhusu hawa watu naombeni michango yenu najua wapo wengi mmekutana nao mnaishi nao mnafanya nao kazi nk.
Mimi ni mchagga lakini nina hasira, sidhani kama wachaga wote wana hasira kwa sababu tu mimi nina hasira. Kwa hiyo huwezi kuacha kuwa na mchagga kwa sababu mimi nimesema nina hasira. Kadhalika huwezi kuacha kuwa na huyo mhehe kwa sababu tu umesikia wahehe wana hasira. Haya kama kweli unampenda usimchakachue muoe, kama humpendi muache mtoto wa watu kwa amani.

Hivi siku hizi nani kakushikilia maana mpwa naona anakukaba vilivyo unaonekana kwa nadra sanahapo sio kwamba wote wanachakachuana LD?
kila mtu ameumbwa na silka yake,mwangalie yeye kama yeye na si kabila lake[/QUOTE]
Siyo kuangalia tu, hata kufikiria kabila lake tayari kwangu ni dhambi kubwa. Labda kama katumiwa hiyo parcel na wazazi wake toka huko uheheni.
Mtu mmekutana mjini, tayari wote ni synthetic products halafu unaanza kuuliza kabila? Siwezi kuelewa hata kidogo!
hapo sio kwamba wote wanachakachuana LD?
Hata mimi huwa nina hasira kweli sio uliona siku ile nilipanda juu ya meza lol!!!!