Hapa mjini tarime mkoani mara kuna kituo kimoja kinachojishugulisha na huduma za maabara kipo hapa mjini kati. swali langu kwenu wadau wa afya ni hili nilienda kupima malaria utakuta kuna vicontainer vidogo ambavyo kuna solution ambamo wanachovya tuvioo ambavyo wameweka damu kwa ajili ya kuzipima ambamo kila anaekuja kupima watachovya kwenye kikontainer hichohicho bila hata kubadilisha hizo solution zao. JE NI SAHIHI KIAFYA KWELI NA WATAPATAJE VIPIMO SAHIHI ENDAPO SOLUTION MOJA INATUMIWA NA SAMPLE ZAIDI YA MOJA?