Baby Nimah
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 719
- 833
SAWA.Heri ya Christmas na mwaka mpya
[emoji322][emoji319][emoji319][emoji319][emoji312][emoji312][emoji312]
Jamani ndugu zangu Nina shida vibaya mno shida yangu sio kubwa sana
Nitashukuru kwayeyote atakaye nielewa
Nina shida ya vocha ya 2000 tuu!! Hata ukinitumia jero nitashukuru
NB:sipo mjini kuna mahali nipo jamanii nimekosa hata ya vocha natakaniwasilia na mama anagu jamaaa
Natanguliza shukrani
Hio ya bundle umepata wapi
Chukua
Duh.... Pole .
Subiri subiri unaweza bahatika.
Nipo pm kwako nielekeze hio freebasic inakuwaje
weka namba nikufanyie muamala fasta mkuu
Mbuzi wa kafara ana tafutwaga na watu kama hawa kuweni makini!
Alafu wewe ni ME.... kwanini umetumia jina hilo!!!?Unamaanisha mini mkuu?
Kwamba nadanga?
Sio hivyo kama unanitumia vocha untuma alafu unasepa
Alafu wewe ni ME.... kwanini umetumia jina hilo!!!?
Sauti yako Ya Kiume..Kuna mahali nimeandika me/ke??