Nia yake uzi wake wanawake waongelewe mbovu shwaini huyuAlafu wewe ni ME.... kwanini umetumia jina hilo!!!?
Kwani Kuna mtu ameandika una fanya biashara ungeandika pm basi Weka namba nikulushie mimi mwanamke mwenzio usihofuu 🤣🤣🤣🤣Hapana nipo serious siwezi kuanika number yangu hadharani bila sababu ya msingi mm sifanyi biashara
Aliye guswa atanisaidia PM
Kwani Kuna mtu ameandika una fanya biashara ungeandika pm basi Weka namba nikulushie mimi mwanamke mwenzio usihofuu 🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sauti yako Ya Kiume..
Hutaki msaadaNishasema MTU ambeye yupo serious aje PM
Hahahahaha fundi acha hizo bhana msaidie kijana[emoji23][emoji23][emoji23]Mbuzi wa kafara ana tafutwaga na watu kama hawa kuweni makini!
PmWeka number nikutumie
Okay ntaku PM nime mtuma dogo aka nunue vocha ya jero........halafu hujasema una tumia mtandao gani au una tumia mtandao wa Amber Rutty kama ID yako?
Okay ntaku PM nime mtuma dogo aka nunue vocha ya jero........halafu hujasema una tumia mtandao gani au tiGO?
Hana mantiki hiyo ... ana maanisha wewe ni usalama wa taifa ...Unamaanisha mini mkuu?
Kwamba nadanga?
Sio hivyo kama unanitumia vocha untuma alafu unasepa
HahaaSauti yako Ya Kiume..
IndeedWalegwa wata juwa! Watu wangu wana angamia kwakukosa marifa!
Watanzania tunaishi kwa hofu kama swala.Hana mantiki hiyo ... ana maanisha wewe ni usalama wa taifa ...
Inabidi lianzishwage jukwaa maalum kwa ajili ya kuomba vocha, lifti, nguo za sikukuu kwa asienazo , hela za viatu, waliopungukiwa ada mpaka kodi za nyumba nadhani lingesaidia sana sababu kila kunavyokuchwa wenye shida wanaongezeka.
Hana mantiki hiyo ... ana maanisha wewe ni usalama wa taifa ...
Hapa hakuna unachotafuta zaidi ya kulawitiwa na watakulawiti kwelikweli....