Naomba kama utaweza, 1. chagua kampuni yoyote pale Dar Stock exchange. (Dar Es Salaam soko la kununua na kuuza hisa). Nadhani hata ukienda TIC watakupatia kwa furaha (goodluck chaz). chukua Jarida la repoti ya mwaka (The company annual report)
2. Tutajaribu na wenzetu tufundishane, uwekezaji wa hisa zinavyofaidisha na tuchakachue aljebra kidogo.