Jamani naombeni ushauri kuhusu computer science

we unacheki unachopenda au unacheki soko???
 
soko au unapenda kaka vipi hadi saivi aujajijua tu
 
kama unaangalia soko, utaishia kuwa fisadi. fanya kitu roho inapenda
 
we soma bana waweza jiajiri pia so dont take the words
 
Coputer science ina nafasi nyingi tu za kazi, kumbuka kila ofisi inahitaji msomi wa computer, japo wasomi wakuwa wengi cku hizi, kinachojaliwa ni ujuzi wako binafsi. kama unaipenda na unasoma kwa moyo mmoja, hakutakuwa na tatizo kabisa. hata hivyo computer science inamruhusu mtu kujiajiri. so, komaa INATOA
 
computer science mkuu kwa bongo halina soko kwa sababu kampuni nyingi hununua software ....wanunua toka njee so
huwa hawana imani technician wa kibongo
 
soma computer science kaka asikwambie mtu inalipa tena ata ukijisomesha itarudisha gharama zako kwa muda mfupi tu pia ni rahisi kuingia kwenye professional nyingine juu yake tofaut ukisoma biashara utoweza kurudi kwenye computer science[h=2][/h]
 
Kama unaipenda soma ni nzuri inahitaji uipende na uwe mbunifu utatoka tu.
 
Follow ur dreams utafanikiwa 2..kama tungekuwa tunasoma kwa kuangalia pesa basi kuna kozi nyingi zisingekuwa na wasomi kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…