heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Dada yangu anatatizo la macho kuvimba hadi kufunga macho pindi aamkapo asubuhi ikiambatana na kichwa kuuma, na shingo akinawa na maji ya chai au vuguvugu na chumv kidogo yana poa hili ni tatizo gan jaman!