iPad ya Apple
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 322
- 126
Nimewaona hawa makada wakiwaelekeza kiujanjaujanja Vijana wa ccm wa mkoa wa DSM kuhusu maoni ya Rasimu ya Katiba .
Tusipoangalia hii Katiba itakuwa ni Katiba ya ccm badala ya Kuwa Katiba ya Nchi. Je ni nani anaweza kutoka hadharani na kusema wale si baadhi ya wajumbe wa Baraza la Katiba.
Swali la Jana tu la kipimo joto lilisema. Viongozi wanaowaelekeza wananchi nini cha kusema Kwenye mabaraza ya Katiba,
Je, wanajua na kuheshimu uhuru wa wananchi kuhusu haki ya mawazo?
Judge Joseph Warioba amekuwa akipiga kelele kuwaasa wana siasa na taasisi za kiraia Kutowasemea wananchi AMA kuwafundisha nini cha kusema,
Kwenye Rasimu ya Katiba.
Source Taarifa ya Habari ya ITV.