Jamani natafuta bajaji ya mkataba au ya kukodi

norbetngelula

Member
Joined
Jan 5, 2018
Posts
12
Reaction score
6
Wakuu habar zenu
Naitwa Norbet Daudi
Mzaliwa wa kigoma
Kwa sasa naishi mwanza
Wilaya ya ilemela kata ya kitangili
Nina tafuta bajaji ya abilia ya kukodi au ya mkataba yeyote mmiliki wa bajaji au anae weza kuinunua tufanye biashara apate manufaa namimi nipate ajira maana hali ni mbaya
Naombeni sana mnisaidie wekuu no.yangu ni 0764894302
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…