Jamani natafuta crankshaft ya Honda vt250

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,414
Wandugu natafuta crankshaft ya pikipiki honda VT 250 pesa ipo tayari, kwetu hatuna shida, mwenye kuwa nayo anicheki 0622767748
 
Kama hunashida nahicho unachoulizia sio shida? Au cjaelewa vzr! Samahan lakin mkuu
 
Kipesa yaani hakutokuwa na mizingua
 
Kwa hiyo mwifwa we mtu akisema kwao kuna shida ndo unaridhika si ndiyo? Haya poa kwetu tuna shida
 
Tafuta watu wanaoenda Uganda uwaagize mkuu kule nyingi tu
 
hapo kwenye red....sasa kama kwenu hamna shida mbona unaomba msaada huku JF?
Si ungefungua tu ile fridge yenu ya milioni 9 uchukue hiyo crankshaft..
Kwanini wabongo mnapenda mtu awe na shida, badala ya kufurahi mimi mtanzania mwenzako sina shida, wewe unamind mi kasema sina shida, haya basi nna shida furahi wewe
 
Ukiipata tafuta fundi mzuri maana mafundi wengi wa sasa hizo pikipiki ni mtihani.
 
Ukiipata tafuta fundi mzuri maana mafundi wengi wa sasa hizo pikipiki ni mtihani.
Natengenezaga ktm masaki, wako vizuri sana ni wa Israel sema garama ila namudu
 
0654515932 huyu fundi yuko vizuri saana, ni mtu wa mapikipiki haya toka miaka ya 90's
 
Nahisi kalala maana hapokei ntamcheki kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…