K Kachelenga Member Joined Sep 11, 2012 Posts 26 Reaction score 6 Sep 11, 2012 #1 Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,NATAFUTA KAZI YOYOTE ILE,pia naweza kupatikana kwa email hii kachelenga@ovi.com
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,NATAFUTA KAZI YOYOTE ILE,pia naweza kupatikana kwa email hii kachelenga@ovi.com
N Nhundu Member Joined Apr 2, 2012 Posts 41 Reaction score 5 Sep 12, 2012 #2 Una sifa gani za kitaaluma?
Makbel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 774 Reaction score 167 Sep 12, 2012 #3 Weka sifa zako mkuu! Au una fani gani?
A amigooo Senior Member Joined Jun 30, 2012 Posts 115 Reaction score 18 Sep 12, 2012 #4 Hebu tuwasiliane kwanza sbb haiwezeani unatafuta kazi yoyote halafu hakuna maelezo. healthwealthfirst@gmail.com
Hebu tuwasiliane kwanza sbb haiwezeani unatafuta kazi yoyote halafu hakuna maelezo. healthwealthfirst@gmail.com
M makeda JF-Expert Member Joined Sep 4, 2012 Posts 280 Reaction score 109 Sep 13, 2012 #5 Mh kazi yoyote ndugu!kuwa makini na usemi mana kuna watu wanatafuta mashoga wa kuwafanyisha ngono huku wakirecordiwa,na wanalipwa hivo naomba uwe makini kwa kuweka mipaka. Kila lakheri.
Mh kazi yoyote ndugu!kuwa makini na usemi mana kuna watu wanatafuta mashoga wa kuwafanyisha ngono huku wakirecordiwa,na wanalipwa hivo naomba uwe makini kwa kuweka mipaka. Kila lakheri.