jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Sina maana hali ya uchumi!! Kuna vitu vinatokea naona siyo vya kawaida!!Mkuu mbona mambo hayaendi sawa kwa wa tz wote ....hata mganga mwenyewe mambo yake hayamuendei sawa mkuu
Nimecheki id na avator yako duuuh kwelo shida haina mbabe!!! Ngoja akina mshama jr waje ....btw pole sanaNina matatizo ambayo siyaelewi kabisa yamenitokea na yameendelea kuwepo!!Na mambo yangu hayaendi sawa sawa katka kila kona ya maisha yangu!! Nahis kuna nguvu Kali zinanizonga nahitaji mtaalam syo hawa wanaojitangaza wenye njaa! Wanalaghai tu watu nahitaji mganga wa kweli asiyefanyia dhiki ya hela!! Kama kuna mtu ameshawahi kupata ufumbuzi au anamjua !! Au alikua na shida nayey akatatuliwa !! Msaada!!
Natanguliza shukrani !!
[emoji23]tena usikute ya mganga yamezid solution ni kuomba mungu amfungulie vikwazo vilivyopo mbele yake na afanye kazi kwa bidii hakika mungu hawezi mtupaMkuu mbona mambo hayaendi sawa kwa wa tz wote ....hata mganga mwenyewe mambo yake hayamuendei sawa mkuu
Mkuu,kwan una matatzo gan ambayo umemuomba Mungu yakamshinda ambay mganga atayaweza?Nina matatizo ambayo siyaelewi kabisa yamenitokea na yameendelea kuwepo!!Na mambo yangu hayaendi sawa sawa katka kila kona ya maisha yangu!! Nahis kuna nguvu Kali zinanizonga nahitaji mtaalam syo hawa wanaojitangaza wenye njaa! Wanalaghai tu watu nahitaji mganga wa kweli asiyefanyia dhiki ya hela!! Kama kuna mtu ameshawahi kupata ufumbuzi au anamjua !! Au alikua na shida nayey akatatuliwa !! Msaada!!
Natanguliza shukrani !!
Unapatikana wapi?Nina matatizo ambayo siyaelewi kabisa yamenitokea na yameendelea kuwepo!!Na mambo yangu hayaendi sawa sawa katka kila kona ya maisha yangu!! Nahis kuna nguvu Kali zinanizonga nahitaji mtaalam syo hawa wanaojitangaza wenye njaa! Wanalaghai tu watu nahitaji mganga wa kweli asiyefanyia dhiki ya hela!! Kama kuna mtu ameshawahi kupata ufumbuzi au anamjua !! Au alikua na shida nayey akatatuliwa !! Msaada!!
Natanguliza shukrani !!