Jamani natafuta Mume

makonda anakufaa
 
Coco channel ni pm please nikupe namba yangu nipo separated
 
BASHITE ANATAKA LAKINI MKUTANE KUSIKOJULIKANA.
ATAFANYA UKARABATI WA BARABARA YA KWENDA KWENU BURE KWA SIKU 60.HELA ZA WAUZA UNGA ZIPO.
 
Kama watu wanaujasiri wa kutongoza bibi harusi siku ya harusi na kwenda kulala nae...
Watakushindwaje wewe na matani yako...


Cc: mahondaw

Hiyo kali siku ya harusi duh

Hao wanaume lazima wanatoka sayari isiyojulikana bado.
 
Kwa ujasir ulionao ndg yng Cocochanel sikutegemea hata sku moja kuwa ungekuja kuyanyenyekea mapenzi,mm mwenyewe natafuta mwanamke kwaajili ya kuanzisha nae maisha mapya,lakn kujiamini kwako Coco' huwa kunanipa mashaka sana!
Pia,nafikiria kuwa huenda umekuja kwaajili ya kuwatafuta wa2 ambao hawa-support movement za jembe na nyundo.Kama kweli upo serious naomba usome uzi wangu unasomeka hivi "Natafuta mke mwema" na kama utaridhika na vgezo nilivyoviainisha basi njoo pm,ila nahtaji mwanamke ambaye ameshamaliza kusoma...,siyo baada ya mwezi mmoja ataka kwenda masomoni!
Karibu sana Coco' if your serious and commited enough
Thank you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…