jamani natafuta mwenza

alley omar

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
277
Reaction score
37
Aslm. alykum nataraji mutakuwa wazima wana jf natafuta mwenzangu awe mwanamke kuanzia miaka 20 kuendelea awe Muslim na anaeishi zanzibar vigezo na cfa nyengine ni baada ya kujuana my contact now 0773 584154 email alikhamis324@yahoo.com
 
Yaani ukishamjua ndo utataka vigezo na sifa?
Futari unakula kwa bi mkubwa?○ama walia forodhani?
 
Aslm. alykum nataraji mutakuwa wazima wana jf natafuta mwenzangu awe mwanamke kuanzia miaka 20 kuendelea awe Muslim na anaeishi zanzibar vigezo na cfa nyengine ni baada ya kujuana my contact now 0773 584154 email alikhamis324@yahoo.com

Kaka vumilia basi kidogo mpaka mfungo upite ndipo uendelee na hili zoezi. Usije ukajikuta unachakachua mfungo!
 
Kweli amechelewa!

Alafu ingekua bora ukawa unajibu maswali ya wadau bana! swali la kwanza la kujibu ni je baada ya mfubgo utamtosa? lakwangu ni je dini inaruhusu kufunga ndoa katkt ya mfungo?

Ramadhan kareem!
 
Vigezo kwanza umjue halafu ndo iweje................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…