Pendesha
Member
- Apr 18, 2013
- 99
- 60
Hi wana Jf.Kama nilivyo tangulia hapo ,kwa niaba ya vijana wenzangu wenye wazo Kama hilo la kutaka kupatiwa elimu ya uandaaji Wa mradi (project plan) Kama sijakosea . kwa udadi yetu ni vijana 25 ambao tupo tayar kuwasiliana na MTU yeyote atakaye kuwa tayari kutusaidia kuhusu hilo.
Tunapatikana Mwanza .....Nimeonelea kwamba hii ni sehemu mahusisi kabisa ambayo naweza kutoa ombi hili kwa Watanzania wenzangu wenye moyo Wa kusaidia vijana ili kwa namna moja au nyingine tuweze kuondokana na suala la kulalamika kwamba ajira hamna.
Kama tunaweza kupata mtu ambaye atawiwa na hiki nilicho kitoa hapa basi tunaweza kuwasiliana kwa mawasiliano haya hapa chini.
E-mail. nemrodmgale21@gmail.com
Mobile. 0762552588
0788 950038
Ahsanteni
"Do your best ,God will do the rest"