Elections 2010 Jamani nataka kujua matokeo ya jimbo la segerea, korogwe na ukonga.

quimby_joey

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
390
Reaction score
165
Waungwana naomba kujuzwa matokeo ya majimbo ya ukonga, segerea na korogwe kwa mtu mwenye taarifa rasmi
 
prof maji marefu mganga wa sisiem
 
kuhusu segerea na ukonga sijapata taarifa ila korogwe yapo majimbo 2(mjini na vijijini) kwa vijijini ameteuliwa prof maji marefu wakati mjini amepita yusuph nassir
 
CCM inazidi kujaza wachawi wa kumlinda JK...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…