Vipo vingi vingi mkuu, kwa MBA bongo unavijua ila nikupe tu vizuri vya Kenya ni Nairobi University, Catholic University of Eastern Africa, Jomo kenyatta University of Agriculture and technology, Kenyatta University, Strathmore, day star, Nazarene University. Nimesoma MBA- Strategic katika chuo kimoja wapo hapo ila shida ya kenya ni kuwa Karo kwenye private institutions iko juu balaa na public universities iko chini ila migomo dunia nzima kama nairobi university juzi ndo wametoka kwenye mgomo na jana wamegoma tena. na hii degree kwa MBA UNAISOMA KWA MWAKA MMOJA NA NUSU(Kwasababu ya trimester system ukitaka)
Vigoogle hivyo vyuo utapata fee structure!