Jamani natumai mwaka mpya unakuja vizuri namarengo mliyojiwekea"

king otty

Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
6
Reaction score
2
Samahani jamani naombeni mnisaidie kitu kimoja, kwa baadhi ya wanawake sehemu zao za siri huwa wana kitu kama kingozi kimetoka nje kama kidore! Je hicho ndio huwa kisimi chao kulingana na maumbile yao? Naombeni majibu yenye ukweli ndugu zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…