Jamani nauliza gest nzuri self maeneo ya Mwenge

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
146
Jamani mtu mwenye kufahamu guest nzuri maeneo ya mwenge yenye vyumba self bei kati ya tshs 20000 mpaka 30000 atufahamishe.
 
labda ungetufahamisha dhumuni la kutafuta guest, na kwa kupost swali hili kwenye jukwaa hili la mahusiano na mapenzi, unanifanya nijiulize unataka kuanza inf..?! Kwa mwenge nafikiri ziko chache sana labda usogee mpaka sinza utazikuta ziko tele.
 
Chonde chonde, fundo moja tu la ziadaaa.........
 
uko na kimeo wewe ka mke wa mtu mpeleke kitunda somwea savana elf 20 tu ni zaidi ya lodge
 
unataka kwenda kula tunda, angalia matunda mengine yana uvundo.
 
labda ungetufahamisha dhumuni la kutafuta guest, na kwa kupost swali hili kwenye jukwaa hili la mahusiano na mapenzi, unanifanya nijiulize unataka kuanza inf..?! Kwa mwenge nafikiri ziko chache sana labda usogee mpaka sinza utazikuta ziko tele.
Asante kwa Mchango hebu naomba unitajie mbili tatu nizifuatilie ikiwezaka hata namba zao za simu
 
casino logde ipo sinza karibu na uwanja wa T.P,au premium inn ipo maeneo ya vatican sinza
 
inategemea mwenge ipi,,,mi nafahamu hotel imejificha ficha na imetulia sana hapo mwenge karibia na hostel za udsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…