MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Nikilia nabembelezwa kwa upendo,
naye akinuna namliwaza kwa vitendo
Je wewe ushawahi kubembelezwa,
mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa nadekezwa........... ah ah nabembelezwaa ah
By Barnaba THT.
Hivi kuna mapenzi ya hivi kweli au ni nyimbo tu?
Sijui kwa vile kesho ni sikukuu basi leo naiona kama ijmaa vile ah :sick::sick::sick::smow:
Je wewe ushawahi kubembelezwa,
Hivi kuna mapenzi ya hivi kweli au ni nyimbo tu?
Sijui kwa vile kesho ni sikukuu basi leo naiona kama ijmaa vile ah :sick::sick::sick::smow:
Mi huwa nabembelezwa nikiwa na mshiko zikiisha tu kubembelezwa nako kuna isha kabisaaaaaaa.
Sasa Rose ah......:decision:?....😛reggers:.......THEN UNA:llama:..AFU ANABAKI....:A S 13:
unabembeleza mara moja .......akijitia kununa unaanza mbele! :tonguez:
haha we acha tu ndio maana nikauliza Best kwani nashindwa hata kushangaa... mfano mdogo weye umebembeleza nyumba ndogo yako wewe, ulipoimimbisha tu umeacha kubembeleza ah!!huu wimbo MJ1 unanikumbusha 'kasheshe' flani hivi
anyways ni kweli .....kubembeleza kunaendana na vitendo ndani ya flavor ya upendo.....ial ukiacha kulia ndo ivo tena inabidi kitendo kiendeleee...
Gmorning
unabembeleza mara moja .......akijitia kununa unaanza mbele! :tonguez:
chauro..... hahahah ndoto tena? kweli mapenzi hayatabiriki. Naombeni definition ya neno mapenzi .hahaaa utamu wa mapenzi ! ukiweka kwenye ndoto nayo inakuwaga nzuri kweli maana hashwindi kutagaza safari siku unataka kubembelezwa
pole wee.
ndo mapenzi ya mujini hayo.
haha we acha tu ndio maana nikauliza Best kwani nashindwa hata kushangaa... mfano mdogo weye umebembeleza nyumba ndogo yako wewe, ulipoimimbisha tu umeacha kubembeleza ah!!
Ah Fidel unabembelezwa ukiwa na mshiko ina maana weye mwenzetu ukiwa na mshiko unafanya matangazo ka mabango ya mgombea uchaguzi eh?Mi huwa nabembelezwa nikiwa na mshiko zikiisha tu kubembelezwa nako kuna isha kabisaaaaaaa.
na kunywa maji mpaka usimamiwe?Please check na katibu mkuu....
Nikitaka kula nalishwa (hii taarab).. :lie:
no way Gaijin..hiyo inakuwa sio sifa ya 'mtoto wa kike'...:hand::tonguez:
Please check na katibu mkuu....
Nikitaka kula nalishwa (hii taarab).. :lie: