Jamani...Nauliza tu

Ukinuna unaulizwa hivi wewe bi Kiboga --nini kimekufanya unune?:couch2:
 
we acha hii kitu hushindwi kutembea ukiongea mwenyewe ndoto muhimu zinakufanya uone kama ushafanya yote kumbe ndo kwanza kweupe watu tunaibiana tu cheichei shangazi nyingi!
Aksante kwa tip maana wezajikuta unatangaza nia barabarani wakati wenzio tayari wako kwenye kampaini. Ah mapenzi aliyeyagundua .........
 
Umenichekesha.....wifi yangu mie alikuwa akimwita mumewe afande lol. Mapenzi haya!!

Ila nafikiri ni challenge ambayo ni muhimu sana kwa binadamu nahisi kusingekuwa na vituko vya mapenzini maisha yangekua very boring !
 
kwa mwanamke wa siku hizi mtabembeleza mkitaka msitake
Hahahahahha G umenifurahisha hebu baelezee naona bamesahau. Eti hawabembelezi usiombe umkute jamaa kakosea kama nani yule alokutwa na Simcard ya siri .... mauwa meengi yatabebwa, ice creams n.k ilimradi abembeleza.
 
queen, braza ODM alikuwa anakutafuta:redfaces::redfaces::redfaces::embarrassed:

ucjali nishamuona niko naye hapa namwandalia ugali na mchicha kwa ajili ya kuboresha macho yake,siku hizi haoini vizuri nahisi.
thanks kwa taarifa hizo muhimu.
 
queen, braza ODM alikuwa anakutafuta:redfaces::redfaces::redfaces::embarrassed:

Hommie, hizi thanks hapa chini kwenye hii yuziful post unazitafsirije?

The Following 2 Users Say Thank You to Kaizer For This Useful Post:

Asprin (Today), queenkami (Today)
 
ucjali nishamuona niko naye hapa namwandalia ugali na mchicha kwa ajili ya kuboresha macho yake,siku hizi haoini vizuri nahisi.
thanks kwa taarifa hizo muhimu.

Hatimaye roho yangu imepona......Sasa Bwana waweza kuniruhusu mtumishi wako niende na amani!

The Following User Says Thank You to queenkami For This Useful Post:

Asprin (Today)
 
kubembelezwa ni muhimu hasa kwa wanawake, issue ni pale unapokuwa na mtu asiyejua kubembeleza, i mean mtu ambaye hana hisia, mtu ambaye there is nothing that moves his heart.........utajuta.
 
kubembelezwa ni muhimu hasa kwa wanawake, issue ni pale unapokuwa na mtu asiyejua kubembeleza, i mean mtu ambaye hana hisia, mtu ambaye there is nothing that moves his heart.........utajuta.
Carmel mamii, you can say that again.
 
mapenzi ya kweli yapo!.. ingawa sio kivilee
 
Kwa lipi la aghali kihivyo?

usipo bembeleza na yeye anaacha kubembeleza ................na mwanamme hawezi kuishi bila ya kubembelezwa sasa. Asipo bembelezwa anahisi kuna watu wanamsaidia...
 
Hommie, hizi thanks hapa chini kwenye hii yuziful post unazitafsirije?

The Following 2 Users Say Thank You to Kaizer For This Useful Post:

Asprin (Today), queenkami (Today)

Nachelea kutafsiri the way it is supposed....hommie....hivi machalari hakuna kwani....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…