Jamani...Nauliza tu

HEHEHEHE!halafu wajameni eeh!
naomba kuuliza tena wajameni........................

mbona siku hizi WHITE LEKSAAZ vyumba ni adimu sanaaaaaaaaa!heheheh!samahani wajameni

ngoja niiiiiii:llama::llama::llama::llama:!
Siku izi wanatoa discount kwa member thus why!
 
Yes..cause nowhere did our ST RR said he will be having lunch and SOMETHING else...I was the only one with such a sensitive information.....lol:decision:

Can't you read between them lines? Someone was also missing.... of course from the opposite team!
 
Yes..cause nowhere did our ST RR said he will be having lunch and SOMETHING else...I was the only one with such a sensitive information.....lol:decision:

Well.....hawa vijana wanajifanya kunusanusa sana....😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:
 
MJ1 umenikumbusha wimbo unaitwa unikimbie

Mpenzi wangu mbona sasa umebadilika au kisa, si kutuma ile vocha si rahisi kama unavyofikiri penzi langu sio langu sio la kubebwa mgongoni starehe ngapi tumefanya and it continues..............................
 
Nasikia na wewe ni kati ya watu waliotajwa na MR MADOGOkuwa umechukua mulungula kwenye ile ishu

natumia haki yangu ya kunyamaza...aftaroo katibu mkuu kazi yake ni utendaji zaidi, maneno kidogo...:tape2::typing::typing::typing::typing::typing:
 
...............Ndo unikimbie, uniache sijui nini nini
umenifanya nilie, sijui nini nini
Ndo unikimbie
 
'mtoto wa kike' ndo unataka awe king'ang'anizi au? ......

Sijajua what loves need!!! najiuliza sana coz ukimbembeleza analeta maringo na alwayz maringo yakianza tu na ndio chanzo cha Ugomvi hn usipo mbembeleza anadai humpendi.nandan kilicho baki ni kuwachapa tu then Ukax Mwa....Mwi!!
 
haha eti full maraha wakati unajua wananyemelea wallet yako.
kwa hiyo siku ukiwa huna hela u r nobody kwao sio!
siku ukiwa huna hela hata ufiwe hawatakubembeleza lkn ukiwa nazo hata ukipiga chafya watu machozi yanawalengalenga.
Wengine ndio raha zetu hizi.......tunalipia tu maraha hatuna tabu,....kwani mbona hata kama wahitaji kupata raha za misosi unanunua??!!!!!! Maraha gharama queen, shurti yalipiwe ati.
 
...............Ndo unikimbie, uniache sijui nini nini
umenifanya nilie, sijui nini nini
Ndo unikimbie

Halafu MJ1 babu yako na pope wamechakachua thredi yako aisee....
Mimi tu nimebaki kukuletea habari...:angel:
 
Nikiwa na mshiko si ndo namtafuta bila mshiko nitamtafutaje?
Kwa hiyo akiona namtafuta anajua leo mgodi umecheua na unanukia hapo nabembelezwa mpaka zinapo isha.
Hapa kaka tunaswing pamoja kabisa
 
...............Ndo unikimbie, uniache sijui nini nini
umenifanya nilie, sijui nini nini
Ndo unikimbie

Ila wanaobembeleza na wao huwa wanakuwa na tekniki zao wakijua unazo utabembelezwa hata ukimwambia ukinipa biolojia yako ndio nitanyamza utapewa tu as long as anajua mulungula upo
 
natumia haki yangu ya kunyamaza...aftaroo katibu mkuu kazi yake ni utendaji zaidi, maneno kidogo...:tape2::typing::typing::typing::typing::typing:

Orait Orait wewe hauko kama makamba
 
Halafu MJ1 babu yako na pope wamechakachua thredi yako aisee....
Mimi tu nimebaki kukuletea habari...:angel:
Hahahahah hao ni mabingwa wa uchakachuaji.
Wanachakachua mpaka mapenzi hujawashtukia tu??

Wewe tu msafi The Finest, wewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…