Wengine ndio raha zetu hizi.......tunalipia tu maraha hatuna tabu,....kwani mbona hata kama wahitaji kupata raha za misosi unanunua??!!!!!! Maraha gharama queen, shurti yalipiwe ati.
......Hahaha ila kusema ukweli janaume linalodeka kupita kiasi hata halipendezi ah.......mi ctakiIla wanaobembeleza na wao huwa wanakuwa na tekniki zao wakijua unazo utabembelezwa hata ukimwambia ukinipa biolojia yako ndio nitanyamza utapewa tu as long as anajua mulungula upo
Hahahahah hao ni mabingwa wa uchakachuaji.
Wanachakachua mpaka mapenzi hujawashtukia tu??
Wewe tu msafi The Finest, wewe tu
......Hahaha ila kusema ukweli janaume linalodeka kupita kiasi hata halipendezi ah.......mi ctaki
Kaka mkubwa huyu leo niachie mimi....utaharibu bwana.Kwa lipi la aghali kihivyo?
Hahahahah hao ni mabingwa wa uchakachuaji.
Wanachakachua mpaka mapenzi hujawashtukia tu??
Wewe tu msafi The Finest, wewe tu
Ukiwa umevaa mawani au macho uchi?
This means a lot and it does make sense hebu katibu naomba uchukue minutes ya hii kwa niaba
Poa,nitavaa halafu nikodoe macho vizuri kama kny avatar yako then nitakupa majibu
Ha ha ha saa zingine inawezekana sio yeye ila ni mapenzi yanayomfanya hivyo hivi haujawahi kuona mwanaume anayelia baada ya kugoma kupewa biolojia
Hahahahaha..........sina la kujitetea hapa.Sasa MJ1 ukishabembelezwa na The Finest basi unachanganya majina kabisaa....😡
The Finest hiyo ya kwa sababu ya mapenzi naelewa wengine loh............. nilishawahi kuona mmoja akidekezwa basi ikawa kila saa linataka tu lidekezwe akigomewa kidogo anafungasha mabegi loh kazi ikawa kufunga mabegi na kufungua ah mwishowe bidada akayabwaga manyanga.Ha ha ha saa zingine inawezekana sio yeye ila ni mapenzi yanayomfanya hivyo hivi haujawahi kuona mwanaume anayelia baada ya kugoma kupewa biolojia
Haikuwa yako hiyo imekosea njia lolThis means a lot and it does make sense hebu katibu naomba uchukue minutes ya hii kwa niaba
Hahahahaha..........sina la kujitetea hapa.
The Finest naye mchakachuaji tu Roya... wewe tu peke yako u msafi karibu kiti hapa ISC
This means a lot and it does make sense hebu katibu naomba uchukue minutes ya hii kwa niaba
Usichelewe tafadhali. Ila ukigundua kuwa, kabla ya kumega wanaume hubembeleza lakini baada ya kumega hawabembelezi bali wanaliwaza, usimwambie mtu. Waache na wao wafanye utafiti wao. Sawa Wiselady wangue? haya kamata na hii bakshishi yako hapo chini!
Hahahahahha G umenifurahisha hebu baelezee naona bamesahau. Eti hawabembelezi usiombe umkute jamaa kakosea kama nani yule alokutwa na Simcard ya siri .... mauwa meengi yatabebwa, ice creams n.k ilimradi abembeleza.
......Hahaha ila kusema ukweli janaume linalodeka kupita kiasi hata halipendezi ah.......mi ctaki
Wewe bacha huyu niachie mimi nibembeleze bana.........mbona wataka kumtia hasira burehuyu mwanamke wa siku hizi ana nini cha ajabu mpaka abembelezwe hivyo??