shukrani DOKTA CHAPAKIUNO!😀😀😀Pole sana pearl
hapo kwenye kiuno, sababu inaweza kuwa stress, especially kama unakaa kwenye the same posture kwa muda mrefu (which I suspect), ni rahisi sana kupata maumivu chini ya uti wa mgongo (muscle spasms). kama haihusiani na mambo yenu ya wanawake sababu inaweza kuwa hiyo, so la kufanya, kama walivosema wengine ni kupata massage asb na jioni, kuna dawa flani hivi ya kupaka hapo (unaweza kuulizia duka la dawa au hosp) utakuwa okay tu. jaribu kuavoid kukaa sehemu moja muda mrefu, na pia angalia kama kuna kitu kinakusumbua kimawazo na hivyo kukusababishia stress, ukisolve.
asante
Pole sana pearl

Hehehe! Hommie Ulinambia uligradyueti MUCHS mwaka gani vile?😀😀Pole sana pearl
hapo kwenye kiuno, sababu inaweza kuwa stress, especially kama unakaa kwenye the same posture kwa muda mrefu (which I suspect), ni rahisi sana kupata maumivu chini ya uti wa mgongo (muscle spasms). kama haihusiani na mambo yenu ya wanawake sababu inaweza kuwa hiyo, so la kufanya, kama walivosema wengine ni kupata massage asb na jioni, kuna dawa flani hivi ya kupaka hapo (unaweza kuulizia duka la dawa au hosp) utakuwa okay tu. jaribu kuavoid kukaa sehemu moja muda mrefu, na pia angalia kama kuna kitu kinakusumbua kimawazo na hivyo kukusababishia stress, ukisolve.
asante
Hehehe! Dr. Kiuno kamwaga bonge la prescription!shukrani DOKTA CHAPAKIUNO!😀😀😀
maelezo meeengi,hebu nitafute nikupe bia leo
Naomba ushauri jamani,yani mvua ikinyesha naumwa sana vichomi na pia nabanwa na kifua sana,lkn leo kiuno kinaniuma sana hata sijui tatizo ni nn,nisaidieni
hehehehe!notedths love yani maumivu yake sijawahi kupata b4,kweli bana watu hawakawii ku kot vby hasa X-PIN
Ebo! Si huyu ndo alituambiaga kuwa umemtunuku penzi lako?ths love yani maumivu yake sijawahi kupata b4,kweli bana watu hawakawii ku kot vby hasa Akili Kichwani
Usiwe na mashaka dia. Utakuwa umeshapona? Naona bado kiwingu kimetanda!Xpin umefanya editing eeeeeeeeh?sawa bana jmosi c tunaonana?
jumamosi lazima!A MUSTG umefanya editing eeeeeeeeh?sawa bana jmosi c tunaonana?
UWE UNATUACHIA NA SISI bana!lolUsiwe na mashaka dia. Utakuwa umeshapona? Naona bado kiwingu kimetanda!
Ngoja nichape Raizoni! Endelea kiongozi!UWE UNATUACHIA NA SISI bana!lol