Jamani nauza stationary yangu nimehamishwa kikazi

Kaundime2

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
1,085
Reaction score
459
Tangazo hili linamhusu mwenye mtaji na nia ya kufanya biashara ya stationary maeneo ya Moro town. Ofisi iko eneo zuri kibiashara na inalipa kwa kweli.

Kwa upande wangu usimamizi umezingua baada ya kuhama mkoa. Nimeendelea nayo kwa mwaka mzima baada ya kuhama lakini nimechemka usimamizi.

Kwa mwenye nia na mtaji niPM tuongee biashara..
 
Weka bei, na maelezo, naweza nunua na kuihamishia niliko.
 
Bei gan mkuu

bei tutaesabiliana vitu vilivyomo maana mi nataka mtu anayeichukua pamoja na vitu vyangu vyote, ni vingi na bei tofauti tofauti, muhimu ni kupanga siku ukaangalie live kama una nia
 
Weka bei, na maelezo, naweza nunua na kuihamishia niliko.

Mkuu kuihamishia uliko inamaana ununue vitu nilivonavo au unamaanisha nini? sijakuelewa vizuri
ikiwa ivo ina maana we ndo useme unaitaji nini na nini maana stationary yangu imekamilika ina kila kitu hadi m-pesa na tigopesa laini zipo na zinafanya kazi
 
Tangazo hili linamhusu mwenye mtaji na nia ya kufanya biashara ya stationary maeneo ya Moro town. Ofisi iko eneo zuri kibiashara na inalipa kwa kweli.

Kwa upande wangu usimamizi umezingua baada ya kuhama mkoa. Nimeendelea nayo kwa mwaka mzima baada ya kuhama lakini nimechemka usimamizi.

Kwa mwenye nia na mtaji niPM tuongee biashara..

mkuu kaundime nashindwa kukupata PM.please nichek hapo tuyamalize haraka: bigarperes@gmail.com
 
Ukishajipanga urudi tena, kwasababu mpaka muda huu unauza na bei unayouza huijui..

Ukishaijua bei, utaweka picha na namba yako ya simu kinyume na hapo ni upuuzi tu.
 
Mkuu naogopa kutoa maelezo zaidi na picha hapa jukwaani si unajua mambo yetu haya ya kujificha nyuma ya id feki. We kama una nia kweli nicheki kwa PM tufanye biashara

Walio serias nimeishaanza nao mazungumzo. Tutakayelewana anachukua mzigo na wala hatajuta kwani mi mwenyewe naiacha sababu ya umbali tu inanipa shida kiusimamizi. Vinginevyo nisingeitoa coz ninayo mwaka wa 5 huu sasa
 
mkuu kaundime nashindwa kukupata PM.please nichek hapo tuyamalize haraka: bigarperes@gmail.com

Tangazo hili linamhusu mwenye mtaji na nia ya kufanya biashara ya stationary maeneo ya Moro town. Ofisi iko eneo zuri kibiashara na inalipa kwa kweli.

Kwa upande wangu usimamizi umezingua baada ya kuhama mkoa. Nimeendelea nayo kwa mwaka mzima baada ya kuhama lakini nimechemka usimamizi.

Kwa mwenye nia na mtaji niPM tuongee biashara..

Umeshauza mkuu?
 
Bado, ila uyo uliemkwoti hapo juu tumepanga kuonana kwa maongezi zaidi
Ka vipi nawewe nipe ratiba yako ukaone coz nitakua moro town wikendi hii

Hii biashara napenda sana kuifanya ila sijui uendeshaji na faida zake zikoje..mimi nina printer ndogo kwa matumizi yangu binafsi,lakini kwa jinsi inavyokula wino na bei za wino zilivyokuwa juu..hivyo faida mnaipataje?

Nisaidieni ufafanuzi zaidi..
 
line za m_pesa na tigo_pesa waweza uza pekee,NA JE KWA UZOEFU WAKO NAWEZA KUJA ZITUMIA HUKU DAR? #asante
 
Yes naweza kukuuzia kama unataka, ni wewe tu utakavoamua
Ndio Dar sijafanya kazi bila shida yoyote
 
line za m_pesa na tigo_pesa waweza uza pekee,NA JE KWA UZOEFU WAKO NAWEZA KUJA ZITUMIA HUKU DAR? #asante

Yes naweza kukuuzia kama unataka, ni wewe tu utakavoamua
Ndio Dar sijafanya kazi bila shida yoyote. Nitakuonyesha namna ya kufanya kubadilisha super dealer
 
Nilishakwambia siku utakapokuwa serious utagundua kuwa wateja wapo wengi tu. Si wote wanaweza kukuPM si kila mtu ni registered member na wengine hawataki kufahamiana humu, weka namba ya simu au email, weka na picha.
 
Line za m pesa, tigo pesa na airTel money zote ninazo nauza bei poa!
0752698636
Line zote zinafanya kazi Dar

Tayari washamuover take.
 
Back
Top Bottom