Jamani nawaombeni radhi nimeingia kimyakimya haya hodii wakuu

Jamani nawaombeni radhi nimeingia kimyakimya haya hodii wakuu

Heshimu sheria

Usilete mazungumzo ya pm jukwaani.

Usitukane waziwazi.

Usiandike kama upo Facebook.

Kuanzia sasa hivi utaitwa mkuu.

Tuma picha na namba yako ya simu.
Shukran mkuu asante kwa nasaha zako
 
Madhara ya kuingia kimya kimya!
Niliwahi kuzama bafuni bila hodi nikamkuta mdingi anaoga! Dah, ile kuona ana bonge la muwaaa nikabaki nimepigwa na butwaaa, kuingia siingii na kutoka sitoki, basi ndingi akanifukuza ndio nikapata fahamu nikatoka nje kwa aibu na wonga mwingi...
 
Back
Top Bottom