Jamani ndoa ngumu au...........!!!!!???

hehehe huyo babu askushtue sana, ukimpa kopo mbili tu za mvinyo anatoa idhini halaf ni fellow tablet pia. yupo kule kwenye sredi la mawasiliano na mapenzi.

sredi linahitaji mwezi bana! unajua litakuwa sredi la kufa mtu, yaani baada ya hilo sredi basi idadi ya ndoa lazima iongezeke tanzania
 
Haaa haaa,kwa babu yangu wala siogopi sn kwavile ni kidonge mwenzio naamin hawezi kunyima mke lol!
Du!huo uzi utakuwa tishio sasa kwa ongezeko hilo itabidi uwe unatoa masred yakuzijenga pia,ila uweke aya ya onyo wasije wakanogewa na wakahamasika mpaka wakaoana zile ndoa za kukameruniana,lol!
 
Dah! hapo red usiseme kwa sauti wataniloga. wanga kibao hapa JF
Hao wakameruni huwa hawahitaji sredi hao, wanafanyaga tu mambo yao hehehhe lakini kwa usalama zaidi na kwavile sweetheart umerequest basi usjali tutaweka onyo
 
Dah! hapo red usiseme kwa sauti wataniloga. wanga kibao hapa JF
Hao wakameruni huwa hawahitaji sredi hao, wanafanyaga tu mambo yao hehehhe lakini kwa usalama zaidi na kwavile sweetheart umerequest basi usjali tutaweka onyo
Watachoka wenyewe tutakutibia tu dawa mbadala kibao kwa babu asprin na mzizi mkavu lol!
Asante darling kwa kukubali kuweka onyo hilo coz nina marafiki zangu wakaka kibao tusijekimbiana bure!
Nusubiri kwa hamu ili nishawishike kujiunga na taasisi ya ndoa lol!
 
Sasa hapo ugumu uko wapi? Mi naona ungesema ndoa rahisi, maana kama hao, baba kaondoka hajaaga anaenda wapi na mke wala haoni umuhimu wa kujua na yeye kabeba begi lake huyo kwa BF wake. Wataelezana walikuwa wapi wakisharudi nyumbani, tena kama wataona kuna umuhimu..
 

Usiwe na shaka. Ndoa kama mahusiano mengine zina mazuri mengi tu na yumkini mabaya pia. Ila lazima ujue kuwa mara nyingi habari inayouza ni ile inayoongelea mambo mabaya ndio maana ukifungulia TV utakuta ni habari za vita, vifo, ugaidi na mambo yanayofanana na hayo. Lakini hii haina maana kuwa dunia yote imejaa vita, magonjwa, ugaidi na mambo hayo. Waandishi wa habari wanasema habari ya mbwa kumng'ata mtu siyo habari kwa sababu ni jambo linalotokea kila mara ila ikitokea mtu akamng'ata mbwa na kumjeruhi hiyo itakuwa ni habari motomoto. Ukweli ni kuwa mambo mazuri yanayoendelea kwenye ndoa ni mengi kuliko haya yanayotolewa kwenye JF na ndio maana hayawavutii waandika thread.
 
mmmm ndoa zilikuwa enzi za mababu, baba zetu sasa ndoa ni usanii mtupu!

kilichobaki ni kufunga kwa kumuomba huyu muumba azinusuru ndoa zetu.
 
Afadhali hata ww kidogo umenipa moyo,na kuhusu story uko sahihi kbs ila basi mie nawaomba wanandoa waandike na uzuri wake hata mara chache chache basi japo nasi tupate hiyo positivu saidi yake angalau hata tukiingia huko tujue tu kuwa some time kuna kuenjoy na si matatizo tu km wanavyoandika kila siku!sio wote wanakuwa na ufahamu wa kuwa watu wanatafuta story inayouzika tu,wengine wanaamini kila wanachosoma humu km mie nilipokuwa msomaji tu,ila nilipojiunga nimeweza kubain kuwa baadhi ni story tu!
 
Kweli mambo ni magumu ila huyo aliyeondoka bila kumuaga mwenzake atamlaumu mkewe atakapotembea nje?
yale yaleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!! yet another justification,endeleeni tu kutoa visingizio,mpaka orodha ya visingizio iishe.
 

Ndoa ni kama zimwi lililolala bibie!Unatakiwa uliamshe kwa uangalifu maana ukilikurupua vibaya linakurupuka kwa hasira halafu linakujeruhi vibaya sana!Halafu ndoa ni kama nyumba ya ajabu maana walioko nje wamerundikana mlangoni kwa nje wanatamani kuingia ndani na waliopo ndani nao wanasukuma mlango wakiwa ndani nao wanatamani kutoka nje!Natumai imeielewa hiyo falsafa.,,,,Lakini usitishike karibu kwenye ulimwengu wa ndoa bibie!
 
Raha ya mwenge kupokezana, na hauruki kijiji.
 

hii kweli ngoma droo. Inanikumbusha ule wimbo kuwa noti feki ikanunua cheni bandia. Sijui nani yule mtunzi
 
Migogoro ya ndoa husababishwa na wanandoa wenyewe, hawataki "kuvunja ukimya" na kusahau yaliyopita!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…