MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Inawezekana maana kuna kipindi mdogo wangu alibadilisha sana ID Names.Watu wanabadilisha majina sn siku hizi
Hapatikani, labda namba niliyopewa amebadilisha. Hata E-Mail zangu hajibu kabisa.Em mpigie tena saiv
Ooh boy, HR 666 ni Da'Vinci ???Da Vinci
Monde Arabe
HR 666
- KANA -
I didn't say itOoh boy, HR 666 ni Da'Vinci ???
Hatari sanaa 😂😂😂😂I didn't say it
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
- KANA -
Watu wanabadilisha majina sn siku hizi
Em mpigie tena saiv
Kumbe watu mnafahamiana kiundani hivi! Btw Nyani Ngabu naye kapotelea wapi?Hapatikani, labda namba niliyopewa amebadilisha. Hata E-Mail zangu hajibu kabisa.
Umenikumbusha wimbo wa ROSTAM-KAOLEWA[emoji23][emoji23]Kaolewa
MGC
Huyo jamaa yako hata sijuagi yuko wapi.Kumbe watu mnafahamiana kiundani hivi! Btw Nyani Ngabu naye kapotelea wapi?
Rostam huyu huyu au?
Kapotea sana mzee wa USA baby!Huyo jamaa yako hata sijuagi yuko wapi.
Kuna uzi humu alipost kama yuko so stressed hivi hata wewe ulichangia sanaLini tena hiyo ??