PICHA - Mazishi ya Dokta Remmy Ongala
Mazishi ya Dokta Remmy Ongala Friday, December 17, 2010 3:53 AM
Picha za mazishi ya mwanamuziki mkongwe nchini wa muziki wa dansi, Ramazani Mtoro Ongala au maarufu kwa jina la Dokta Remmy ambaye alifariki jumapili akiwa na umri wa miaka 63. Maelfu ya watu walijitokeza kwenye viwanja vya Biafra jana kumuaga mwanamuziki mkongwe nchini wa muziki wa dansi, Dokta Remmy Ongala aliyefariki jumapili kutokana na kuugua muda mrefu ugonjwa wa kisukari.
Dokta Remmy alizaliwa Feb 10. 1947 na alifariki tarehe 12 Dec 2010 na alizikwa jana katika Makaburi ya Sinza jirani na nyumbani kwake.
Gonga Linki chini kwa picha za mazisha ya Dokta Remmy.
GONGA HAPA KWA PICHA ZA MAZISHI YA DOKTA REMMY
NIFAHAMISHE .: PHOTO GALLERY :.
http://www.nifahamishe.com/album_preview.aspx?AlbumId=905999