Sasa kweli nini??? Numba 8 au tarehe 18? Mi sikuelewi unajua!!!!
Bahati gani unaitafuta ww? Acha kuamini mchezo wa namba, maisha mazuri mtajiletea wenyewe.
na maansha kila namba inayo ishia nane 08_18_98_2008 nazani utakuwa umeelewa karibu!
mimi nimesikia the opposite
Ngoja profesa maji marefu aje atusaidie!
du! Mmmh sina uhakika mkuu wangu, labda ukifunga harusi siku hiyo ya 8-8-2018 ccm watakua washatoka madarakani, hilo ndilo lenye uhakika
miii jamani sii elewi kabisaaa ndio maaana nahitaji kuwa nikweli????Mmmh...Kuna watu bado wanaamini hayo mambo mpaka karne hii?
Ngoja profesa maji marefu aje atusaidie!
pole sana kijana, na imani yako