Hapo labda uniambie wameona tuu hizo nane nane zimependeza kukaa pamoja nitakuelewa, lakini eti namba nane ina bahati..Mmmh, mi siamini hizo imani!
mii sina iman hiii! nataka kusikia kwenu wakubwa zangu ni kwelii au?
sijakuelewa mke mlango wa nane?? hebu nipe kidogo!!Usijaribu kabisa hizo tarehe zenye 8 utapata mke mlango wa nane.
hakuna kitu cha namna hiyo....., uchumba na ndoa ni vile mtakavyoishi na kuujenga, it has nothing to do na tarehe... mwisho wa siku mtabadilisha hadi majina.....
mii nahisi neno hahati ni zuri dio maana linamvuto!Watu wanaishi kwa kutegemea bahati?! Teh teh teh
mii nahisi neno bahati ni zuri dio maana linamvuto!Watu wanaishi kwa kutegemea bahati?! Teh teh teh
poa my shemeji, vunja jungu iliishaje?
ok mii sina vunja jungu wala nini mii hivi sasa nimeshakula.