Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 473
mtu ambaye alikuwa akimfanya alale au achelewe kurudi nyumbani nilikuwa nishamfaham.
kumpenda na mpenda tena sana na wala sina tatizonae kwasaabu najua atazunguka ila atarudi palepale afu kitu kingine mtu anaye mfanya alale nje nisha mfaham tena kitambo tu. ila najiuliza kwanini kaniambia vile?
Nimeanza tangu nikostandard 4. najua ni kitu ambacho si chakawaida ila i don't need other pussy bro, na kuishi bila mtu kwa umri kama wangu ni kiaina na pia nina wafaham madem vizuri tu. sasa niambie nimpekipigo au niwambie wazazi wake au nifanyeje?
Ila jana kaniambia anataka taraka yake tena akiwa analia kumuuliza sababu, anasema eti si mjali kwa sababu alikuwa akilala nje na kuchelewa kurudi nyumbani akitegemea nitamuuliza na kumfokea lakini haikuwa hivyo so anahisi naeza nikawa simpendi au kama si hivyo, basi ninademu mwingine na anataka ujua msimamo wangu uko wapi? Mpaka sasa sijajua la kufanya nisaidieni ndugu zangu.
eeeh! Haya makubwa sana.
Naona hiyo inataka kuwa fasheni Mwanza.
Ni nini kimetokea jamani?
Ni mwaka wa pili tangu nioe, ila mwezi wa 11 mwaka jana mke wangu kaanza mauzauza. Anatoka asubuhi kurudi ni saa sita au asubuhi ya siku inayofuyata. Kafanya hivyo kwa muda wa miezi miwili sasa na mimi sikutaka kumuuliza wala kumugasi kwa lolotelile saabu nampenda sana na ninafahamu yeye pia nimtu mzima so maswala ya kuulizana ulikuwa wapi au umelala wapi si ishu.