Jamani ni saidieni mimi

Kesi nyingine bwana...nakosa hata namna ya kukushauri kwa kua umeeleza kisa na baadaye ukaweka hata angalizo la "kwanini hutaki kumpa talaka" Endelea kumpenda mkeo...na umjali!
 
mwanaume maamuzi babu,kakuona zoba kaamua akuache afuate mwanaume wa kweli..................................,mmmnh utaletewa magonjwa huyo mwanenu unayekazana kumlinda kwa kuvumilia uozo abaki yatima duniani....shaurilo AMKA,mpe talaka yake....JIAMINI utapata mwingine tatu kama mtoto unaona ni tatizo kumlea mwenyewe mpeleke kwa wazazi wako au ndugu wengine kwani huna makaka na madada jamani wenye familia?jipende ukimwi upo....
 
Haya kongosho, Ngoja nimtafute!
 
Swali lako na msaada uliyoomba hafinani !.
Umesema una sintofahamu baina yako na mkeo.
Lakini vigezo havioneshi kama hapo kuna ndoa.
Hivyo nachelea kutoa ushauri kwa mahawara.
 

mi nazani wee ni punguwani, ambae ustaili kupoteza muda wetu kwa kuchangia upunguwani wako,mke analala nje auulizi kisa unampenda;>?yhunshdjwuZako we

we ni pimbi!


Wewe **** kweli ka vipi vaa magauni tena ukome kuekezea,upuuzi kama huo hapa una
wadhalilisha wanaume wenzako

Unaweza kukuta hata huyo mtoto siyo wako fungua turbo ya kichwani acha udandala .


eeeh! Haya makubwa sana.
Naona hiyo inataka kuwa fasheni Mwanza.
Ni nini kimetokea jamani?

Jamani asanteni! mi nlishindwa nimwambie nini! Naona mmenisaidia kumtolea uvivu 😛oa
 
Wewe unamalaria sugu wewe yan mkeo halali hme alafuunavunga ukidai unampenda hahaha embu malizia hiyo story labda kuna part umesahau!
 
We vp? Suala la Wasukuma limeingiaje tena hapa...Toa ushauri bana



We msukuma nini? maana siku mbili hizi kuna vitopic vilikuwa vinawaongelea wasukuma walivyomazoba wa kupenda, tena mwanamke mwenyewe kama mweupe ndio balaaa, hata unyayo utamlamba.
 
always i think about life not wife but i need her because she has child with me and she gives me joy when I'm sad. I gar no problem mr, you just tell me what to do?

Pole sana mkuu, hapo kuna mawili ambayo ni
1. Baada ya kufanya visa hivyo na wewe kumkalia kimya bila ya kumuuliza nafsi yake inamsuta vibaya mno hivyo anaona ni bora muachane tu.
2. Kama wadau walivyosema hapo juu ya kuwa kanogewa na penzi la huko nje.
Ushauri :
Kama kweli bado wampenda na unamuhitaji kaa nae chini mweleze jinsi gani unavyompenda na umeshamsamehe kwa hayo yote alokutendea na umwambie (kwa ukali) asirudie tena. Ila kama akikazania na akigoma kukusikiliza kabisa hayo uyasemayo, mpe talaka yake haraka sana kwani si riziki yako tena na atakuletea gonjwa la ukimwi.

 
hv wewe akili zako zimetimia???Iko siku atakuja na huyo jamaa yake hapo akwambie umpishe chumba ndo utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…