Kitty Galore
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 345
- 100
Badilisha number.
If you're not part of the solution you must be part of the problem....Kwanini usiwajulishe wote kwa sm kwamba umebadili number na hii ndo number yako mpya.kubadilisha namba siwezi, nitazuia watu wengine wa muhimu na pia ndio namba ya ofisi. Sitaweza kupoteza watu wengi kwa ajili ya mtu mmoja.
Huyu kiumbe amekuwa akinipigia simu kuwa hawezi kunisahau, amejitahidi ku let it go but ameshindwa (anavyodai), at the same time he is married, hivi nafanyaje mbona anazidi kunichanganyia habari namna hii?
Nilishamsahau na maisha yakasonga mbele,is he aiming to hurt me?
Nimeshablock namba zake zote lakini anatumia namba tofautitofauti kunipigia. Hii hali naitatuaipi?
mwambie akukome...akiendelea mtafute wife wake mpe story kwanianjema tu atakusaidia!!kwani wewe huna mume?
From my perspective, you need to stay away from a married man, because he doesn't have any integrity and morals. He can't have his cake and eat it too, by allowing you to stay in his life when he is a married man.
You don't want to deal with the negative consequences if you continue to stick around with him, he's off limits. He wants to have sex with you may be because he sees you as a booty call.
Halafu kwa jinsi ulivyoandika it seems you still have feelings for him.
You can't help it but just sit back and watch..lolwhat if she likes to be a booty call?
lol