Jamani nifanye nini?

Ameoaa! Mmh, anakudanganya huyo. Ukimkubali ujue mtacheza cheza tu kwa muda halafu mwenzio atarudi kwa mkewe.
 
Nashukuru wote kwa ushauri wenu, lakini bado napokea ushauri
 

mamie kwan nw si unampenzi wako mwingine na unampenda 2.
kama jibu ni ndio embu mpotezee huyo , hakupendi wala nn aliyempenda ni huyo aliyemuoa na kumuweka ndani kama mkewe ww na kuenjoy 2 na kuutia maumivu moyo wako achana nae kama ulishamsahau mdelete kbs nenda na kwenye recycle bin ukamdelete ukifanya ivo hutamuona challange tena .
 
I have been in that situation,may be i still am!I knw how it feels.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…