Jamani nimefiwa!

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
966
Reaction score
540
jamani mwenzenu siku ya leo nimepata msiba mkubwa wa kupotelewa na bestman wangu mpendwa. Ameilea ndoa yangu kwa muda wa mwaka mmoja na miezi miwili tu. Nisipotembelea JF kesho mjue kuwa nipo kwenye majonzi majonzi mazito:A S cry:.

Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina
 
Pole sana Mkuu, wakati tunamuombea marehemu apumzishwe mahali pema, nawe pia upewe moyo wa uvumilivu kukabili majonzi haya makubwa kwako.
 
Pole kwako na wafiwa kwa ujumla.
 
RIP best man........ pole kwa kufiwa ..... usijali ataendelea kuwa nawe kiroho.... enzi yale mafundisho na malezi yake kwenu..... AMEN!!!!!!!!
 
Pole sana mkuu, apumzike kwa amani mahali pema mbinguni!
 
Pole sana Mkuu kwa msiba mkubwa uliowapata. Mweyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi..AMEN.
 
Poleni sana wafiwa na aliyetangulia mbele ya haki alazwe pema peponi. Nasi twaja kila mtu na yake siku!!
 
pole sana, mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...ameni
 
May the soul of best man rest in peace amen
 
Pole sana mkuu, apumzike kwa ambani mahali pema mbinguni!
 
Pole sana KINDUNDUMILA, tuko pamoja katika maombolezi. RIP, your Bestman!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…