Jamani nimefiwa!

pole sana kwa huo msiba. Let him rest in Peace..Mungu alitoa na ametwaa, jina lake lihimidiwe!!! Amen
 
Pole Kwako Na Familia Ya Bestman. Alale Pema Peponi. Amina.

Steve Dii
Pole mkuu
Ila sijaona lojiki ya kumpa thanks mfiwa.....kufurahia kusikia ujumbe wa kufiwa au?
 

Pole sana kwa msiba huo; mwenyezi mungu aipumzishe pema roho ya marehemu kwa amani. Sote tuko kwenye njia hiyo hiyo.
 
Nawashukuru sana wanaJF wote kwa kutufariji katika kipindi hiki cha majonzi. kwa kweli bestman wangu alikuwa ni bestman wa kila mtu. Kwenye msiba kulijaa watu balaa. Magari ndo usiseme ingawa yeye mwenyewe alikiwa hana hata gari. Alikuwa anajua namna ya kuishi na jamii yake inayomzunguka. Tumempumzisha jana huko Vwawa-Mbozi mkoani Mbeya. Mungu amlaze mahli pema peponi. Amina
 
pole sana
Ila hii sio sehemu ya kuweka tangazo hili.
 
Pole sana mungu awafariji wote mlioguswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…