P Peter Majaliwa Senior Member Joined Jun 16, 2017 Posts 161 Reaction score 30 Jul 8, 2019 #1 Jamani nimekosea kujaza mwaka was kuzaliwa nacte application naweza chaguliwa kujiunga chuo msaada kulingana na uzoefu wenu
Jamani nimekosea kujaza mwaka was kuzaliwa nacte application naweza chaguliwa kujiunga chuo msaada kulingana na uzoefu wenu
C cuteL Member Joined Sep 18, 2016 Posts 98 Reaction score 42 Jul 8, 2019 #2 Inawezekana, hyo ni error ndogo ya kawaida
JAPHA ED JF-Expert Member Joined Aug 17, 2016 Posts 793 Reaction score 1,223 Jul 8, 2019 #3 Usijali utachaguliwa tu kama vigezo vyako vitajitosheleza kulingana na ushindani uliopo na pia unaweza ukaedit ukarekebisha tu huo mwaka.
Usijali utachaguliwa tu kama vigezo vyako vitajitosheleza kulingana na ushindani uliopo na pia unaweza ukaedit ukarekebisha tu huo mwaka.
P Peter Majaliwa Senior Member Joined Jun 16, 2017 Posts 161 Reaction score 30 Jul 9, 2019 Thread starter #4 asanteni sana
GRAMAA JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 1,241 Reaction score 3,800 Jul 10, 2019 #5 Peter Majaliwa said: Jamani nimekosea kujaza mwaka was kuzaliwa nacte application naweza chaguliwa kujiunga chuo msaada kulingana na uzoefu wenu Click to expand... Wanakudanganya mwaka ni kitu kikubwa sana huwezi kupata chuo mkuu
Peter Majaliwa said: Jamani nimekosea kujaza mwaka was kuzaliwa nacte application naweza chaguliwa kujiunga chuo msaada kulingana na uzoefu wenu Click to expand... Wanakudanganya mwaka ni kitu kikubwa sana huwezi kupata chuo mkuu