Ewe dada mwenye shida ya kuolewa kimbia hapa!
Mkaka nakufata wewe mwenye lengo la kuwa na mwenza njoo tuzungumze PM... sina vigezo mimi
Tukiwaita humu hamtaki mkiitwa na Rwakatale mnakimbia Mob kama nyumbu [emoji23][emoji23] but seriously aje mmoja anaejiamini.