Jamani nimemisi kale kawimbo ka Komba

Jamani nimemisi kale kawimbo ka Komba

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,053
Reaction score
1,418
Hivi kuna mwenye nako anitumie?

Kanaimbwa...

[emoji444][emoji444] tumeipenda wenyewe [emoji444][emoji444]
[emoji444][emoji444] chaguo letu wenyewe [emoji444][emoji444]
[emoji444][emoji444] acha waisome namba eeeeh[emoji444][emoji444][emoji444]
[emoji444][emoji444] CCM mbele kwa mbeleeeeee
 
Iv kuna mwenye nako anitumie?

Kanaimbwa

[emoji444][emoji444] tumeipenda wenyewe [emoji444][emoji444]
[emoji444][emoji444] chaguo letu wenyewe [emoji444][emoji444]
[emoji444][emoji444]Acha waisome namba eeeeh[emoji444][emoji444][emoji444]
[emoji444][emoji444]CCM mbele kwa mbeleeeeee
hahahahaha, nadhani mzee Sumaye na Mh Lowasa watakuwa wanaisoma vizuri sana
 
Back
Top Bottom