Unako unitumie?Na kweli zinasomeka
hahahahaha, nadhani mzee Sumaye na Mh Lowasa watakuwa wanaisoma vizuri sanaIv kuna mwenye nako anitumie?
Kanaimbwa
[emoji444][emoji444] tumeipenda wenyewe [emoji444][emoji444]
[emoji444][emoji444] chaguo letu wenyewe [emoji444][emoji444]
[emoji444][emoji444]Acha waisome namba eeeeh[emoji444][emoji444][emoji444]
[emoji444][emoji444]CCM mbele kwa mbeleeeeee
Kuliko wewe na Lumumba wenzio mliokatiwa buku 7hahahahaha, nadhani mzee Sumaye na Mh Lowasa watakuwa wanaisoma vizuri sana
Nakutumia sasa hivi